Friday, June 26, 2015

Ukweli Kuhusu Mgombea Edward Lowassa Kupendelewa na Vyombo vya Habari Mbio za Urais 2015


Nimekuwa Nikifuatilia kwa Makini sana hizi Mbio za Urais 2015 Kile ninachokiona na Kama Vile mgombea Huyu Edward Lowassa Anependelewa na Vyombo vya Habari Kila Kona iwe Magazeti, Blogs na TVs...Habari zake zinapewa Airtime sana na kuandikwa sana ...
Je kuna nini Kinaendelea ?

Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi Mkuranga, Mkoani Pwani wamevamia tawi la Benki ya NMB na kuua Askari mmoja kisha kutokomea na fedha zote.

Majambazi wamevamia NMB Mkuranga, Wameua askari na kutokomea na fedha.

Update

Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Jafary Mohamed, ameithibitishia JamiiForums kutokea kwa tukio hilo na kwamba sasa anajiandaa kwenda katika eneo la tukio.

"Ni kweli nimepata taarifa zenye maelezo machache kama hayo unayonieleza lakini niko kwenye ziara (Hakutaja ni ziara gani), ninajiandaa kwenda katika eneo la tukio, nikifika au kupata taarifa zaidi muda wowote kuanzia sasa nitawajulisha kwa kina" alieleza Kamanda Mohamed.